Nafasi Ya Matangazo

February 11, 2016

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya TDL maarufu kama Konyagi , Michael Benjamin akiongea na wafanyakazi wakati wa hafla ya kuwapongeza wafanyakazi walioitumikia kampuni hiyo kwa muda mrefu   katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Saalam
Wafanyakazi wa kiwanda cha Konyagi jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye sherehe ya kuwazawadia wafanyakazi walioitumikia kampuni hiyo kwa muda mrefu.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya TDL maarufu kama Konyagi , Michael Benjamin akiongea na wafanyakazi wakati wa hafla ya kuwapongeza wafanyakazi walioitumikia kampuni hiyo kwa muda mrefu   katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Saalam
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya TBL Group Roberto  Jarrin akimkabidhi mfanyakazi wa kiwanda cha Konyagi Tanzania  Tatu  Maganga  cheti  cha utumishi wa muda mrefu miaka 35 , wakati wa hafla ya kuwapongeza iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa  Konyagi  Tanzania ,Michael Benjamin ( kushoto  ) na Mkurugenzi Mtendaji wa  TBL Group Roberto  Jarrin  (kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na mfanyakazi wa konyagi Kudra Kinyaga    mara baada ya kumtuku cheti cha ufanyaji kazi wa muda mrefu wa miaka 25
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya TBL Group,Roberto Jarrin akimkabidhi mfanyakazi wa kiwanda cha Konyagi Tanzania  Moshi Matenga  cheti  cha utumishi wa muda mrefu miaka 25 , wakati wa hafla ya kuwapongeza iliyofanyika jijini Dar es Salaam
Wafanyakazi wa kiwanda cha Konyagi wakiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa0 baada ya kutunukiwa vyeti vya kufanya kazi kwa muda mrefu wakati wa hafla ya kuwapongeza iliyofanyika  jijini Dar es Salaam

Posted by MROKI On Thursday, February 11, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo