Nafasi Ya Matangazo

February 10, 2016

Meneja wa Benki ya Commercial Bank of Africa (CBA) tawi la Arusha,Juliana Mwamsuva (kushoto) akipeana mkono na Catherine Mbugi  ambaye ni  msimamizi wa kituo cha watoto yatima cha Faraja  kilichopo Kimandolu Arusha baada ya benki hiyo kukabidhi misaada mbalimbali kwa kituo hicho
Meneja wa Benki ya CBA tawi la Arusha,Juliana Mwansuva akibadilishana mawazo na Catherine Mbugi  Msimamizi wa kituo cha kulea  watoto cha Faraja kilichopo Arusha.

 Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CBA tawi la Arusha wakiwasili katika kituo cha Faraja kwa ajili ya kutoa msaada kwa kituo ambapo pia wafanyakazi walishiriki kulea watoto
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CBA tawi la Arusha wakiwasili katika kituo cha Faraja kwa ajili ya kutoa msaada kwa kituo ambapo pia wafanyakazi walishiriki kulea watoto
Baadhi wa wafanyakazi wakishiriki kuwalisha chakula watoto wanaolelewa katika kituo cha Faraja
Posted by MROKI On Wednesday, February 10, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo