Nafasi Ya Matangazo

November 24, 2015

Mwakilishi waTanzania katika shindano la Miss World 2015, Lilian Kamazima ambaye ndiye Miss Tanzania 2014, akisalimiana na watoto waliojipanga kuwakaribisha warembo wanaoshiriki shindano la Miss World huko Sanya China. Warembo hao 120 waliandaliwa tafrija maalum ya kuwakaribisha.
 Miss Tanzania, Lilian Kamazima akicheza mziki na warembo wenzake.
  Miss Tanzania, Lilian Kamazima (kulia) akicheza mziki na warembo wenzake.
 Miss Tanzania, Lilian Kamazima (wanne kushoto mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja na warembo wenzake.
Posted by MROKI On Tuesday, November 24, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo