Nafasi Ya Matangazo

September 02, 2015

 Abiria wa kishuka kwenye stesheni ya Tazara Dar es Salaam baada ya kuwasili na  treni ya Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) inayotoa huduma ya usafiri kati ya sresheni hiyo na ile ya Pugu Mwanga dar es Salaam leo.
 Abiria wakitoka nje ya Stesheni ya Tazara Dar es Salaam baada ya kushuka katika treni ya Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) kwa kutumia treni zinazotoa huduma ya usafiri jijini Dar es Salaam leo.
Daladala zikisubiri abiria walioteremka katika treni ya TAZARA inayotoa huduma ya usafiri jijini Dar es Salaam jana asubuhi,  katika eneo ambalo halina kituo jambo ambalo linaweza kusababisha abiria hao kugogwa na watumiaji wengine wa barabara. Ipo haja ya Polisi Usalama Barabarani kuwepo katika eneo hili nyakati za asubuhi kuangalia usalama wa wasafiri hawa katika barabara ya Mandela.
Posted by MROKI On Wednesday, September 02, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo