Nafasi Ya Matangazo

September 02, 2015

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Samia suluhu, akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika Septemba 1, 2015, katika eneo la Chilonwa Nzali, jimbo la Chamwino mkoani Dodoma.
 Wananchi wakiwa katika mkutano huo.
Mmoja wa wajumbe wa kamati ya Kampeni ya Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu, Ummy Mwalimu, akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika Septemba 1, 2015, katika eneo la Chilonwa Nzali, jimbo la Chamwino mkoani Dodoma.
 Shamrashamra za ngoma zikihanikiza, kabla ya Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, kabla ya Mama Samia Suluhu, kuhutubia umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika Septemba 1, 2015, katika eneo la Chilonwa Nzali, jimbo la Chamwino mkoani Dodoma.
 Mgombea ubunge wa jimbo la Kongwa, Job Ndugai, akihutubia mkutano wa kampeni za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia katika eneo la Kigwingwili, katika jimbo hilo mkoani Dodoma jana,  Septemba 1, 2015.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akipokea wananchama saba wapya kutoka Chadema, katika mkutano wa kampeni aliofanya eneo la Mazae, jimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma, jana
Posted by MROKI On Wednesday, September 02, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo