Nafasi Ya Matangazo

September 02, 2015

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation Dkt. Reginald Mengi muda mfupi kabla ya kufungua na kuendesha mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015

Katibu Mtendaji wa Baraaa la Biashara la Tanzania (TNBC) Bw. Raymond Mbilinyi akiongelea juu ya  mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015. Soma Zaidi >>>>>FK MATUKIO.
Posted by MROKI On Wednesday, September 02, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo