Nafasi Ya Matangazo

July 03, 2015

Mwandishi wa gazeti la HabariLeo, Gloria Tesha akiwa mwenye furaha baada ya kutunukiwa cheti cha Shahada ya Uzamili ya Mawasiliano ya Kimataifa katika Chuo Kikuu cha Mawasiliano cha China. Mahafali hayo yalifanyika Julai Mosi mwaka huu, chuoni hapo.

Mwandishi wa HabariLeo (wa pili kushoto) akiwa na wenzake baada ya kutunukiwa shahada ya uzamili ya Mawasiliano ya Kimataifa katika Chuo Kikuu cha Mawasiliano cha China Julai Mosi mwaka huu nchini humo.



Gloria Tesha (wa tatu kushoto) akiwa na wenzake kabla ya kutunukiwa shahada ya uzamili ya Mawasiliamo ya Kimataifa katika Chuo Kikuu cha Mawasiliano cha China, Julai Mosi mwaka huu nchini humo.


Gloria Tesha (wan ne kushoto) akiwa na wanafunzi wenzake kabla ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya Mawasilaino ya Kimataifa katika mahafali yaliofanyika katika Chuo cha Mawasiliano cha China nchini humo Julai Mosi mwaka huu.
Posted by MROKI On Friday, July 03, 2015 1 comment

1 comment:

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo