Nafasi Ya Matangazo

April 18, 2015

Siku ya Jumamosi Aprili 16 mwaka 2005 Mwandishi wa habari wa gazeti kongwe la chama cha Mapinduzi, Ester Amos Bulaya alijifungua mtoto wa kiume aliyemwita jina la Brighton.  Juzi Aprili 16 katika moja ya migahawa ya Hoteli ya kitalii ya Sea Clif jijini Dar es Salaam, Brighton alitimiza miaka 10 tangu kuzaliwa. Pichani juu ni Brighton akiwa na mama yake ambaye hivi sasa ni Mbunge wa Viti Maalum (UVCCM).
Brighton Babile (kulia) na rafiki zake wakishangilia keki.
Mbunge wa Viti Maalum, Ester Bulaya akimsaidie Brighton kukata keki.
Ester akilishwa keki na mtoto wake.
Marafiki wa Ester Bulaya wakiwa katika tafrija hiyo.
Birthday Boy, Brighton akiwa na baba yake Mkubwa ambaye pia ni Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashilila. 
PICHA ZAIDI BOFYA>>>> KIDEVU MATUKIO
Posted by MROKI On Saturday, April 18, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo