Nafasi Ya Matangazo

April 16, 2015

Biharusi mtarajiwa Dk Prisca Maridadi akiwa katika pozi la picha wakati wa siku yake maalum ya kuagana na familia yake kabla ya kufunga Pingu za maisha na mumewe mtarajiwa. Biharusi ni Daktari wa Zahanati ya Mburahati Dar es Salaam katika kitengo cha Kifua Kikuu na HIV. Tafrija hiyo ilifanyika Aprili 9 mwajka huu katika ukumbi wa Darriot Social Hall na taswira za picha mnato na Video zilifanywa na MD Digital Company: +255 755373999/+255 717002303.
 Dk Prisca akiwa na Msimamizi wake Mrs Rehema Digaga
 Hii ndio keki ya siku hiyo.
 Ndugu wakijipanga tayari kumpokea mwali ukumbini.
 Mama wa Bi Harusi Anne Maridadi wa Kibaha Mkoani, (kulia) akimlaki Binti yake baada ya kuingia ukumbini.
 Kaka wa Bi Harusi Frank Maridadi akimimina shampen
 Dk Prisca na Msimamizi wake Rehema wakinyeshana shampen kutaki.
PICHA ZAIDI BOFYA KIDEVU MATUKIO
Posted by MROKI On Thursday, April 16, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo