Nafasi Ya Matangazo

March 26, 2015

 WANAFUNZI 97 kutoka Chuo cha Utumishi wa Umma, Tawi la Mbeya, leo wapo Bungeni mjini Dodoma kwa ziara ya kimafunzo. Wanafunzi hao wanaosomea fani mbalimbali zikiwepo utunzaji kumbukumbu na makatibu Muktasi watajifunza vitu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kujioenea moja kwa moja namna shughuli za Bunge zinavyofanyika. 
 Wanafunzi wakifuatilia mjadala kwa umakini.
 Mhadhiri na Kiongozi wa Chuo hicho, Johnson Mbuluma (kulia) akiwa na wanafunzi wake wakifuatilia shughuli mbalimbali za Bunge mjini Dodoma hii leo.
 Wanafunzi hao wakiwa Bungeni wakifuatilia mijadala hiyo mbalimbali na kipindi cha maswali na majibu.
 Umakini ulikuwepo wakati wanafunzi hao wakisikiliza na kutaza Wabunge.
Wanafunzi mbalimbali hutembelea Bungeni kwa ajili ya mafunzo na pia makundi mbalimbali katika Jamii.
Posted by MROKI On Thursday, March 26, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo