Nafasi Ya Matangazo

March 31, 2015

 Wanafunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tabora wakiwa na Mbunge wa Tabora Mjini, Alhaji Ismail Aden Rage walipotembelea Bungeni mjini Dodoma hii leo kwa ziara ya kimafunzo.
Wanafunzi hao walitembelea maeneo mbalimbali ya Bunge pamoja na kujifunza shughuli za Bunge zinavyofanyika.
Posted by MROKI On Tuesday, March 31, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo