Nafasi Ya Matangazo

February 28, 2015

Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jimbo la Mbinga Mashariki na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM ambaye pia ni kiongozi wa Kundi la TOT, Capt.John Damian Komba amefatiki dunia hii leo katika Hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam aliko lazwa kwa matibabu. 

Hakika kifo cha Komba ni pigo kubwa kwa wana Mbinga, CCMna watanzania kwa ujumla. Komba atakumbukwa na maelfu ya watanzania kwa nyimbo zake za hamasa ndani ya Cjhama cha mapinduzi na taifa kwa ujumla. 

Atakunbukwa kwa nyimbo kipindi cha uchaguzi tangu enzi ya chama kimoja na hata kipindi cha msiba wa Baba wa Taifa akivyo imba nyimbo za maombolezo.
Posted by MROKI On Saturday, February 28, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo