Nafasi Ya Matangazo

October 20, 2014

SAM_0706Baadhi ya Wanasalamu wa kituo cha Redio 5 chenye makao yake makuu njiro jijini Arusha wakikabidhi sehemu ya msaada wao kwa uongozi wa hospitali ya mkoa Mt.meru jana,kulia ni mratibu wa salamu kupitia kipindi cha usiku wa moto Yacob Simba kushoto ni Sista Shubi Mjawizi,anayefatia ni Sista Merry Stalla
SAM_0705 Yacob Simba akiongea na baadhi ya wanasalamu katika viwanja vya hospitali ya Mt.Meru anayefatia ni Godfrey Thomas ambao ni waratibu wa shughuli hiyo kupitia kituo cha Redio 5 katika kipindi usiku wa moto kinachorushwa kwanzia saa saba usiku hadi kumi na moja alfajiri kwa wiki nzima
SAM_0710Yacob Simba akikabidhi ndoo ya mafuta  kwa uongozi wa hospitali ya Mt.Meru jana baadaa ya wanasalamu kutoka mikoa zaidi 21 kufika hospitalini hapo kuwafariji wagonjwa
SAM_0696
Vicky Mwakoyo ambaye ni Creative Meneja wa kampuni ya  Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Radio 5 Arusha,katikati ni Yacob Simba  na Godfrey Thomas wakiwa wanajadili jambo
SAM_0690Kulia ni Lucy Bongole ambaye ni mwanasalamu wakiwa wanajadiliana na wenzake katika viwanja vya hospitali ya Mt.Meru katikati ni Zuhura Mbise maarufu kwa jina la mama Sosy,kushoto ni Sister Monduly
SAM_0691Wanasalamu wakiwa wanajadiliana
SAM_0692Sehemu ya msaada uliotolewa na wanasalamu kwa wagonjwa hospitali ya Mt.Meru jijini Arusha
SAM_0703Kushoto Mtangazaji maarufu wa Redio 5 kupitia kipindi chake cha  love cuts kinachorushwa jumatatu hadi ijumaa saa nne  hadi saa saba usiku Semio Sonyo  akiwa na mtangazaji machachari aliyejizolea umaarufu mkubwa kupitia kipindi chake cha usiku wa Moto kinachorushwa kwanzia saa saba usiku hadi kumi na moja alfajiri kwa wiki nzima  Godfrey Thomas aka GT wakifurahia jambo
SAM_0715Nesi wa hospitali ya Mt.Meru Sista Merry Stella akitoa neno la shukrani kwa wanasalamu waliofika kuwatembela wagonjwa hospitalini hapo ambapo amewataka watu na mashirika mbalimbali kuiga mfano huo kwa kuwa mahitaji ya wagonjwa ni makubwa
SAM_0721Muonekano katika hospitali ya Mt.Meru jijini Arusha
SAM_0794Wanasalamu wakiwa wamevalia T-sheti za Redio 5
SAM_0776Wapili kulia ni mmiliki wa jamiiblog Pamela Mollel wakwanza kushoto ni Godfrey Thomas aka GT wakiwa katika picha na baadhi ya wanasalamu jana zoezi hilo liliratibiwa na kituo cha Redio 5 kupitia kipindi cha usiku wa moto
SAM_0728Baadhi ya wanasalamu wakisubiria kuingia katika wodi mbalimbali kuwajulia hali wagonjwa hospitalini hapo
SAM_0730"Pole mama Mungu atakuponya"hayo ni maneno ya wanasalamu
SAM_0734Yacob Simba mtangazaji wa Redio 5 akiwa anamjulia hali mama mgonjwa katika wodi ya wanawake
SAM_0741Mwanasalamu mkongwe kutoka Arusha Baba Ali Mbondei(aliyevalia tisheti ya Redio 5)akiwa na wanasalamu wenzake wakimjulia hali mgonjwa katika wodi ya wanaume
SAM_0742Wanasalamu wakiwa wanasoma dua kwa mgonjwa wodi ya wanaume katika hospitali ya Mt.Meru jijini Arusha
SAM_0746Wanasalamu wakiwa wanaingia wodi ya saba kuwaona wagonjwa
SAM_0752Godfrey Thomas  aka GT katikati akiwa amepozi na mashabiki wake ambao ni wanasalamu kupitia kipindi cha usiku wa moto cha kituo cha Redio 5 jijini Arusha
SAM_0749
Wanasalamu kutoka mikoa mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja katika viwanja vya hospitali ya Mt.Meru mara baada ya kufanya ziara ya kuwatembelea wagonjwa (Habari Picha na Pamela wa Jamiiblog)
Posted by MROKI On Monday, October 20, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo