Nafasi Ya Matangazo

October 26, 2014

Stand United wakiingia uwanjani na katapila tayari kucheza na Yanga, mwenye shati la kitenge hapo mlagoni ni Mbunge wa Shinyanga mjini Mheshimiwa Stephen Masele ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini amekuwa bega kwa bega na timu ya Stand United. Yanga islishinda 3-0 katika mchezo huo mabao yaliyofungwa na Jaja na Tegete.
Posted by MROKI On Sunday, October 26, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo