Nafasi Ya Matangazo

September 01, 2014

Kufuatia hofu ya ugonjwa hatari wa Ebola kuweza kupenya nchini Tanzania na kuleta madhara kwa wananchi wake, serikali ya Tanzania kupitia wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imeanza kutoa elimu ya dalili za ugonjwa huo na namna ya kujikinga dhidi ya maambukizi yake.

Tayari mabango yenye ujumbe huo yamebadikwa katika vituo vya daladala jiji Dar es Salaam na wananchi wamekuwa wakipita na kuyasoma mabango hayo na kupata elimu. 

Father Kidevu Blog imeshuhudia mabangpo hayo katika kituo cha Msalaba Mwekundu (Red Cross) kilichopo barabara ya Ali Hassan Mwinyi.
Posted by MROKI On Monday, September 01, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo