Nafasi Ya Matangazo

July 29, 2014

 Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilali (wapili kulia) akishiriki katika swala ya Idd El Fitri iliyoswaliwa katika viwanja vya mnazi mmoja Dar es Salaam jana. Kulia ni Sheikh mkuu wa Tanzania Sheikh Issa Bin Shabani Simba, na wengine kutoka kushoto ni Kamanda wa Polisi Kanda ya Maalum ya Dar es salaam, Suleiman Kova, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiq, Katibu wa BAKWATA,Suleiman Lolila na  Shekhe wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhadi Mussa Salum.
 Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilali (wapili kulia) akishiriki katika swala ya Idd El Fitri iliyoswaliwa katika viwanja vya mnazi mmoja Dar es Salaam jana.  Pamoja nae ni Shekhe wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhadi Mussa Salum.
 Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhadi Mussa Salum akiwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana.
 Waumini wa dini ya kiislamu wakifuatilia mawaidha wakati wa swala ya Idd el Fitri jana.
 Waumini wa dini ya kiislamu wakifuatilia mawaidha wakati wa swala ya Idd el Fitri jana.
 Waumini wa dini ya kiislamu wakifuatilia mawaidha wakati wa swala ya Idd el Fitri jana.
  Watoto mapacha Saeed Bhanji (kushoto) na  Irfan Bhanji wakiwa katika swala ya Iddi El Fitri ambayo iliswaliwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es salaam kitaifa.
 Waumini wa dini ya kiislamu wakifuatilia mawaidha wakati wa swala ya Idd el Fitri jana.
 Utoaji wa zaka ulifanyika
Waumini wa dini ya kiislamu wakifuatilia mawaidha wakati wa swala ya Idd el Fitri jana.
Posted by MROKI On Tuesday, July 29, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo