Nafasi Ya Matangazo

April 13, 2014

Breaking News!!!!! Arusha hivi punde watu wamerusha bomu la mkono kwenye bar maarufu inayoitwa Arusha Night Park au Matako Bar iliyopo eneo la Mianzini inasemekana watu wawili wamepoteza maisha ila majeruhi ni wengi sana tukio hili ni ndani ya nusu saa iliyopita. Watu kibao walikuwa wanacheki mpira. Majeruhi wakipelekwa katika Hospitali za Seleliani, AICC na Hospitali ya Mkoa. 

 Mkuu wa Mkoa ametembelea majeruhi na kuwa pole huku Polisi wakiendelea na uchunguzi. Father Kidevu Blog itatujuza zaidi kuhusiana na tukio hilo.

Up dates: 
hadi sasa hakuna kifo...
Posted by MROKI On Sunday, April 13, 2014 1 comment

1 comment:

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo